Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2023

Aua kisa cheo

MWALIMU ADAIWA KUUA MWALIMU MWENZAKE KISA CHEO... Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha (pichani) kwa kumchoma na kisu akiwa darasani. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea Machi 15 saa 3:45 asubuhi wakati walimu hao wakiandaa mtihani kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la kwanza. "Kata ya Isulwabutundwe mwanaume wa miaka 35 katika Shule ya Msingi Igaka aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye chembe ya moyo na mwanaume mwingine mwenye miaka 35 ambae ni mwalimu mwenzake. Walimu wote wawili walikuwa darasani wakiandaa mtihani ndipo mtuhumiwa alitoa kisu na kumchoma mwenzake kwenye chembe cha moyo," amesema Kamanda Jongo. Kamanda alisema chanzo cha tukio hilo inadaiwa kuwa ni ugomvi baina ya walimu hao ambao walikuwa wanagombea uongozi kwenye kitengo cha elimu ya kujitegemea. "Uchunguzi wa tukio hilo...

KUPATWA KWA MWEZI

KUPATWA KWA MWEZI FUNZO LA SAYANSI KUPATWA KWA MWEZI FUNZO LA SAYANSO   12-3-2023 Tukio hili ni adimu katika karne hii kwani Mwezi utafunikwa kabisa na kivuli cha sayari yetu ya Dunia na mara ya mwisho tukio hili lilitokea miaka arobaini iliyopita tarehe 6/08/1971. Kipindi hicho wengu wetu tulikuwa hatujazaliwa na hata waliokuwepo ni wachache walioweza kutambua ni nini kilichokuwa kinaendelea. Picha ya Kupatwa kwa Mwezi " data-medium-file="https://unawetanzania.files.wordpress.com/2011/06/eclipse2.jpg?w=300" data-large-file="https://unawetanzania.files.wordpress.com/2011/06/eclipse2.jpg?w=435" class="size-full wp-image-351" title="eclipse2" src="https://unawetanzania.files.wordpress.com/2011/06/eclipse2.jpg?w=620" alt="" srcset="https://unawetanzania.files.wordpress.com/2011/06/eclipse2.jpg 435w, https://unawetanzania.files.wordpress.com/2011/06/eclipse2.jpg?w=150 150w, https://unawetanzania.files.wordpress.com/2011...

MALKIA WA GIZA

Lugha ya kiswahili Kutana na mwana mitindo Kwa jina  Nyakim Gatwech,    Mwanamke mweusi zaidi Duniani Jina alilokubaliananalo mwanadada ambaye pia ni mwanamitindo mwenye asili ya Sudan mwanamadada hiyo ambaye muonekano wake umekuwa hivyo kutokana n mlimbikizo au wingi wa melanin ambazo ni Kinga za ngozi zinazoratibu ukoleaji wa rangi ya mwili na kuilinda dhidi ya miale ya jua     Licha ya hayo mwanamke hiyo ni balozi wa wanawake weusi anawahasa watu wasiogope GIZA kwakuwa hata watu weusi ni watu kama watu wengine tofauti ni rangi tua     Pia anawahasa watu hasa wanawake kujikubali kwakuwa weusi ni urembo ulioumba na Mungu       Kwa Sasa mwanamke hiyo anaishi nchini marekani kwashughuli za mitindo ambayo ndiyo maisha yake Kwa ujumla     Kwa ujumla unapaswa kukipenda namna Mungu alivyokuumba  Jipende tu haijalishi umeumbwa Kwa staili gani kubaliana na uumbaji wa Mungu Kila kitu ni mpango wake       Picha ...

Wangxian Kijiji kilichoning'inia

Swahili translation Wadau hicho Kijiji lipo china ni maarifu kama Kijiji kilichoning'inia nyumba za eneo Hilo zimejengwa kwenye miimuko ya milima nyumba hizo hutumika kama makazi ya watu Ni eneo la kuvutia watalii nchini china English translation Wangxian Valley is located in the Jiangxi province of China and it is famous for the houses hanging from its cliff. It is a newly developing scenic spot built by hand. The construction is mainly an imitation of an ancient city with its streets Michael Daniel

JE NI UGONJWA AU ULEVI?

Pichani ni Methew Hogg Raia wa Uingereza ambaye ana ugonjwa unaoitwa auto-Brewery Syndrome.  Ugonjwa huu ni kwamba Mwili wake una uwezo wa kutengeneza Pombe wenyewe endapo tu atakula chakula chenye Sukari au Wanga.  Hogg anasema endapo atakula Sahani Moja tu ya wali Mwili wake hutengeneza pombe yenye kiwango cha Chupa tatu za Wine kali kabisa. Jamaa kila siku huamka na hungover ya kufa mtu.  Akiwa mdogo alikuwa hajaelewa kuhusu ugonjwa huu hivyo akiwa shuleni alikuwa akilewa hovyo hovyo pindi anapokula chakula chenye wanga, sukari au Amira.  Fuata link hii kumsoma zaidi. Pombe inayotengenezwa tumboni kwa jamaa wanasema ni kali sana. Picha ya pili hapo ni kwamba jamaa anataka kulewa akila huo mkate

Ukuta wapili Kwa ukubwa duniani ≥≥ the second largest wall KUMBHALGARH

      HISTORIA KWA UFUPI Ukuta unaoaminika kuwa ni wapili Kwa ukubwa ukiacha ule ukuta wa china ni huu ukuta uliopo nchini India. Unaambiwa ukuta huu ilikuwa na dhumuninla kutenganisha jamii ya mawar na merwar ambapo pia ilikuwa eneo la hifadhi ya wakimbizi baada ya kuwepo Kwa merwar     Pia eneo hili lilikuwa ngome ya kuzuia zaidi ya himaya 84  Pia ukuta huu unasemekana  ngome imejengwa kutoka katika ngome ndogondogo urefu wa futi 3500   kwa Sasa eneo hili limetumika kama kivutio Cha watalii nchini India Imeandaliwa na kuhaririwa na  Michael Daniel (Abdaallah Athuman Shaban)       English translation If you are visiting Udaipur for fun with adventure activities then Kumbhalgarh is the place for you. A destination that is most preferable for outdoor activities such as trekking and hiking in Udaipur. Kumbhalgarh will give you all the goosebumps and challenges which every trekking would love to conquer. A Brief History It is said...

HISTORIA ZILIZOVUNJA REKODI\ THE STORY MAKE HEADLINES

Source Google Pic edition Wedish warship Vasa. It sank in 1628 less than a mile into its maiden voyage and was recovered from the sea floor after 333 years almost completely intact. Now housed at the Vasa Museum in Stockholm, is the world's best preserved 17th century ship            Swahili Meli ya KIVITA ya kiswiden\ swidish. Kwa jina. Vasa iliyozama takribani 1628 zaidi ya maili chini ya bahari katika eneo la matengenezo na ilidumu ndani ya bahari takribani miaka 333         Kwa Sasa imejengewa eneo kama makumbusho huko Stockholm.  Ni Moja kati ya rekodi za Dunia tangia Karne ya 17 katika meli za nchi hiyo ya sweden     

Marshmallow make

  Chow Down Drinks & Cocktails Uwezo Take your downtime to the next level with these adorable Pokémon-inspired marshmallows and a soothing matcha latte. By Bianca Fernandez February 9, 2023 eHow may earn compensation through affiliate links in this story. Cop Image edition  In This Article  Uwezo mkuu copy and paste If you ask me, cold winter weather is worth it for the soothing drinks alone. I've always loved sipping hot cocoa or lattes in the comfort of my home while snow falls peacefully outside. And while traditional mini marshmallows are a fine addition to these cozy wintertime beverages, I've often wished I could dress up my drinks with flavored specialty marshmallows—but they can be tough to come by. The solution? DIY, of course! Enter: my very own recipe for ube marshmallows. Making homemade marshmallows might sound intimidating, but these ube marshmallows require just a few ingredients: water, sugar, gelatin, ube extract and cornstarch. To take my marshmallow...

Watering simply

 Project of watering system at your home do it's try it it save water                  https://youtu.be/nEVqE09aRvA 👆 It's just simple to do just like  Look video here 👇 https://youtu.be/nEVqE09aRvA To have fire  Needle

TOLLENSE UWANJA WA KIVITA ULIOBAKIZA MASALIA YA MIFUPA

 Bonde la Tollense uwanja wa mapambano ujeruman kusini linajumuishwa kama eneo la mapambani takribani miaka 3300 iliyopita zaidi ya wanajeshi 4000 katikati ya Ulaya walipigana na kuuwawa. kulikuwa na maelfu ya masalia ya mifupa ya wanajeshi waliouwawa ronze\shaba mbao ambazo zilikuwa miongoni mwa silaha zao Michael Daniel Tollense valley battlefield in northern Germany is considered Europe’s oldest battlefield site. 3300 years ago, some 4000 warriors from Central Europe fought in a battle on the site leaving behind thousands of bone fragments, bronze, wooden and flint weapons, and gold and bronze objects. Support us share