Skip to main content

Posts

Showing posts from April, 2023

Ndege ya vita concord 1920

Katika HISTORIA ya Anya hii hayo ni miongoni mwa story ambazo ukizitananisha na tmaendeleo ya SAYANSO na teknolojia ya Sasa lazima ikuache mdomo wazi hii ni ndege ya KIVITA mnamo 1920 Ndege hii iliundwa Kwa kuitumia china lakini misthilinya batinndage hiyo pia ilikuwa kama manga makazinkwa wanajeshi Imenukuliwa  Kuhaririwa na kutafsiriwa Na  Michael Daniel English CONCORD: Designed in the 1920s that was still carrying freight and passengers when Concorde took to the air, that is just incredible. Junkers became the pioneer of an entirely new approach to aircraft construction. A cantilever monoplane with a thick wing constructed using a metal structure covered in thin sheets of steel.  https://planehistoria.com Usiache kushea ukurasa huh ili kuonyesha  Upendo na Kwa wengine. Wapate kufahamu
MAMBO AMBAYO MWAKA 2017 UMENIFUNZA KUHUSU MAHUSIANO NA NDOA. 1. Mwanaume kuna aina fulani ya wanawake kwa namna yoyote ile unatakiwa uwaepuke. Wanawake wanaodhani uzuri wao ni zaidi kuliko tabia zao. 2. Mwanamke Tafuta mwanaume atakaekuongoza na kumtumikia Mungu, sio yule atakaekimbilia kutaka ngono pekee. 3. Mwanaume Usimpe MIMBA mwanamke kabla hujamfanya kuwa mkeo wa halali. 4. Mwanamke usikubali MIMBA ikufanye kuwa SINGLE MOTHER, kabla ndoa haijakufanya kuwa MKE HALALI. 5. Mwanaume Unapokua na bidii ya kumtafuta Mungu kama utavyutavyo wanawake, Mungu atakupa mwanamke ambae wala hutahangaika kumtafuta. 6. Mwanamke, Wanaume bora sio kwamba hawapo, wapo ila ni tabu mno kuwavutia. Wanamuda na majira yao. Wanazo quality za wanawake wanaowahitaji na Muda wao wakuoa ukifika huoa tu pasina external pressure. 7. Mwanaume, Usimuite mwanamke ni CHEAP kwa vile amekukubali kirahisi, anakunyenyekea na kukutii. Mwanamke huyo huyo ni mgumu kwa wanaume wengine 8. Kama unampenda mtu, mwambie wazi na ...

Ethiopia

  Home History African Tribes Culture Biography Empires Stories News Opinion SIGN IN Welcome! Log into your account your username your password Forgot your password? PASSWORD RECOVERY Recover your password your email  until  Haile Selassie I reigned as Emperor of Ethiopia from 1892 until his death in 1975. By   Af 2 Emperor Haile Selassie, Ethiopia’s 225th ruler from 1930 to 1974, was the son of Ras (Prince) Makonnen, Emperor Menelik II’s cousin. He was a direct descendant of King Solomon and Queen Sheba, thus his nickname “Judah’s Conquering Lion.” He was born Ras Tafari Makonnen and bore that name until 1930, when the empress died and the 38-year-old prince was anointed Negusa Negast (King of Kings), Emperor of Ethiopia, and the Elect of God with the title Haile Selassie I, which means “Might of the Trinity.” Prior to his appointment as regent in 1916, Ras Tafari had a wealth of administrative expertise and an extensive education. Private studies at the royal court...