Hii ikushangaze kidogo mgunduzi wa ngombe wa shaba aliye mtengeneza Maalum katika ugunduzi mbalimbali huko ubelgiji Unaambiwa kuwa ng'ombe Huyo alikuwa Maalum ili kuwakaanga watu wakiwa ndani yake akiwa amewekewa tarumbeta maatumu lililotoa sauti Maalum kama dume la ng'ombe Kilichotokea nikiwa wakati wa kuwasilisha ugunduzi huo mgunduzi aliyejulikana Kwa Jina Perilaus aliamriwa ndiye awe wakwanza kukaribia humo Bull of Falaris" The Dangerous invention of the ancient invetor Thanks to Lucian, the 2nd century AD satirist, we know quite a bit about the torture machine known as "the brass bull of Perilaus" or "the bull of Phalaris". The sculptor Perilaos between 570-560 BC. he made to the order of the tyrant Phalaris, a brass bull that could fit an entire man inside. When they lit a fire under the bull, the one inside was roasted alive and his voices were heard, through a special mechanism, like the bellowing of the bull. When he first presented h...