Skip to main content

Ukuta wapili Kwa ukubwa duniani ≥≥ the second largest wall KUMBHALGARH



      HISTORIA KWA UFUPI

Ukuta unaoaminika kuwa ni wapili Kwa ukubwa ukiacha ule ukuta wa china ni huu ukuta uliopo nchini India. Unaambiwa ukuta huu ilikuwa na dhumuninla kutenganisha jamii ya mawar na merwar ambapo pia ilikuwa eneo la hifadhi ya wakimbizi baada ya kuwepo Kwa merwar


    Pia eneo hili lilikuwa ngome ya kuzuia zaidi ya himaya 84 
Pia ukuta huu unasemekana  ngome imejengwa kutoka katika ngome ndogondogo urefu wa futi 3500

  kwa Sasa eneo hili limetumika kama kivutio Cha watalii nchini India

Imeandaliwa na kuhaririwa na

 Michael Daniel (Abdaallah Athuman Shaban)

     

English translation

If you are visiting Udaipur for fun with adventure activities then Kumbhalgarh is the place for you. A destination that is most preferable for outdoor activities such as trekking and hiking in Udaipur. Kumbhalgarh will give you all the goosebumps and challenges which every trekking would love to conquer.

A Brief History

It is said that, out of 84 fortresses defending Mewar, 32 were designed and built by Rana Kumbha. Amongst those fortresses, Kumbalgarh with 36-kilometer long wall and towers is the master piece of the monuments and landmarks in Rajasthan. Kumbalgarh has a connection with an ancient citadel dating back to the 2nd century AD which belonged to the Maurya kingdom. The purpose of Kumbhalgarh was to define the boundaries between Mewar and Marwar region which became the site of refuge for Mewar rulers.



Why Kumbalgarh is the Best Place for Trekking and Hiking?

Located among the Aravalli mountain range, Kumbhalgarh is considered as the one of the best location for trekking and hiking. In the 15th century, this place was inaccessible as the Rana Kumbha of Mewar built a strong fort overlooking the Ajmer and Marwar region. The surprising thing is the fortress was built at a 3500 feet hill. On top of this, Kumbhalgarh is en-route to the destinations such as Udaipur, Jodhpur, Ajmer, and Pushkar making it a popular and attractive tourist destination.

Kumbhalgarh Fort has the 2nd largest fortified wall in the world making it a true gem of India. It is known as UNESCO world heritage site which stretched up to 80 km from Udaipur city. For every trekking enthusiast, the fort is close to Kumbhalgarh wildlife sanctuary, famous for wild hogs, sloth bears, leopards, antelopes, etc. and beautiful bird species.


Created abd prepared and 


Michael Daniel



Comments

Popular posts from this blog

Aua kisa cheo

MWALIMU ADAIWA KUUA MWALIMU MWENZAKE KISA CHEO... Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha (pichani) kwa kumchoma na kisu akiwa darasani. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea Machi 15 saa 3:45 asubuhi wakati walimu hao wakiandaa mtihani kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la kwanza. "Kata ya Isulwabutundwe mwanaume wa miaka 35 katika Shule ya Msingi Igaka aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye chembe ya moyo na mwanaume mwingine mwenye miaka 35 ambae ni mwalimu mwenzake. Walimu wote wawili walikuwa darasani wakiandaa mtihani ndipo mtuhumiwa alitoa kisu na kumchoma mwenzake kwenye chembe cha moyo," amesema Kamanda Jongo. Kamanda alisema chanzo cha tukio hilo inadaiwa kuwa ni ugomvi baina ya walimu hao ambao walikuwa wanagombea uongozi kwenye kitengo cha elimu ya kujitegemea. "Uchunguzi wa tukio hilo...

JE NI UGONJWA AU ULEVI?

Pichani ni Methew Hogg Raia wa Uingereza ambaye ana ugonjwa unaoitwa auto-Brewery Syndrome.  Ugonjwa huu ni kwamba Mwili wake una uwezo wa kutengeneza Pombe wenyewe endapo tu atakula chakula chenye Sukari au Wanga.  Hogg anasema endapo atakula Sahani Moja tu ya wali Mwili wake hutengeneza pombe yenye kiwango cha Chupa tatu za Wine kali kabisa. Jamaa kila siku huamka na hungover ya kufa mtu.  Akiwa mdogo alikuwa hajaelewa kuhusu ugonjwa huu hivyo akiwa shuleni alikuwa akilewa hovyo hovyo pindi anapokula chakula chenye wanga, sukari au Amira.  Fuata link hii kumsoma zaidi. Pombe inayotengenezwa tumboni kwa jamaa wanasema ni kali sana. Picha ya pili hapo ni kwamba jamaa anataka kulewa akila huo mkate

Watering simply

 Project of watering system at your home do it's try it it save water                  https://youtu.be/nEVqE09aRvA 👆 It's just simple to do just like  Look video here 👇 https://youtu.be/nEVqE09aRvA To have fire  Needle