Skip to main content

MALKIA WA GIZA

Lugha ya kiswahili

Kutana na mwana mitindo Kwa jina Nyakim Gatwech,  

 Mwanamke mweusi zaidi Duniani




Jina alilokubaliananalo mwanadada ambaye pia ni mwanamitindo mwenye asili ya Sudan mwanamadada hiyo ambaye muonekano wake umekuwa hivyo kutokana n mlimbikizo au wingi wa melanin ambazo ni Kinga za ngozi zinazoratibu ukoleaji wa rangi ya mwili na kuilinda dhidi ya miale ya jua


    Licha ya hayo mwanamke hiyo ni balozi wa wanawake weusi anawahasa watu wasiogope GIZA kwakuwa hata watu weusi ni watu kama watu wengine tofauti ni rangi tua
    Pia anawahasa watu hasa wanawake kujikubali kwakuwa weusi ni urembo ulioumba na Mungu
      Kwa Sasa mwanamke hiyo anaishi nchini marekani kwashughuli za mitindo ambayo ndiyo maisha yake Kwa ujumla
    Kwa ujumla unapaswa kukipenda namna Mungu alivyokuumba 
Jipende tu haijalishi umeumbwa Kwa staili gani kubaliana na uumbaji wa Mungu Kila kitu ni mpango wake

      Picha na
    Google


    Imehaririwa na
Michael Daniel\Abdallah Athuman Shaban

  Chanzo Cha habari

 Google




English language

Meet the South Sudanese model Meet the South Sudanese model Nyakim Gatwech, who keeps teaching people not to be afraid of the dark. With her fierce determination and deeply pigmented skin, Nyakim keeps breaking the barriers of conventional beauty, and also encourage others to replicate the same. Gatwech, a 24-year-old icon of burgeoning fashion now lives in Minneapolis, Minnesota, she is very proud of her melanin and makes sure the whole world is aware of that. “My chocolate skin is elegant, so is what I represent…..A nation filled with warriors,” captioned on one of her photographs on Instagram, which has over 10 thousand likes each. She gave the details of her experience with an Uber driver who suggested she should try ‘bleaching’ her skin – but she responded by laughing. “It will be hard for you to believe the kind of question and looks I get for having this skin.” In the fashion industry, Gatwech is an advocate for diversity and also a voice for Black all around the world. She has been tagged “Queen of the Dark,” a title which she happily accepts. 
“Black is beautiful, bold and can be likened to gold….  Don’t let your African soul be damaged by American standards.”



 Love your skin, no matter what shade or color it may be! who keeps teaching people not to be afraid of the dark. With her fierce determination and deeply pigmented skin, Nyakim keeps breaking the barriers of conventional beauty, and also encourage others to replicate the same. Gatwech, a 24-year-old icon of burgeoning fashion now lives in Minneapolis, Minnesota, she is very proud of her melanin and makes sure the whole world is aware of that. “My chocolate skin is elegant, so is what I represent…..A nation filled with warriors,” captioned on one of her photographs on
 Instagram, which has over 10 thousand likes each. She gave the details of her experience with an Uber driver who suggested she should try ‘bleaching’ her skin – but she responded by laughing. “It will be hard for you to believe the kind of question and looks I get for having this skin.” In the fashion industry, Gatwech is an advocate for diversity and also a voice for Black all around the world. She has been tagged “Queen of the Dark,” a title which she happily accepts. “Black is beautiful, bold and can be like


ned to gold….  Don’t let your African soul be damaged by American standards.” Love your skin, no matter what shade or color it may be!

Comments

Popular posts from this blog

Aua kisa cheo

MWALIMU ADAIWA KUUA MWALIMU MWENZAKE KISA CHEO... Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha (pichani) kwa kumchoma na kisu akiwa darasani. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea Machi 15 saa 3:45 asubuhi wakati walimu hao wakiandaa mtihani kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la kwanza. "Kata ya Isulwabutundwe mwanaume wa miaka 35 katika Shule ya Msingi Igaka aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye chembe ya moyo na mwanaume mwingine mwenye miaka 35 ambae ni mwalimu mwenzake. Walimu wote wawili walikuwa darasani wakiandaa mtihani ndipo mtuhumiwa alitoa kisu na kumchoma mwenzake kwenye chembe cha moyo," amesema Kamanda Jongo. Kamanda alisema chanzo cha tukio hilo inadaiwa kuwa ni ugomvi baina ya walimu hao ambao walikuwa wanagombea uongozi kwenye kitengo cha elimu ya kujitegemea. "Uchunguzi wa tukio hilo...

JE NI UGONJWA AU ULEVI?

Pichani ni Methew Hogg Raia wa Uingereza ambaye ana ugonjwa unaoitwa auto-Brewery Syndrome.  Ugonjwa huu ni kwamba Mwili wake una uwezo wa kutengeneza Pombe wenyewe endapo tu atakula chakula chenye Sukari au Wanga.  Hogg anasema endapo atakula Sahani Moja tu ya wali Mwili wake hutengeneza pombe yenye kiwango cha Chupa tatu za Wine kali kabisa. Jamaa kila siku huamka na hungover ya kufa mtu.  Akiwa mdogo alikuwa hajaelewa kuhusu ugonjwa huu hivyo akiwa shuleni alikuwa akilewa hovyo hovyo pindi anapokula chakula chenye wanga, sukari au Amira.  Fuata link hii kumsoma zaidi. Pombe inayotengenezwa tumboni kwa jamaa wanasema ni kali sana. Picha ya pili hapo ni kwamba jamaa anataka kulewa akila huo mkate

Watering simply

 Project of watering system at your home do it's try it it save water                  https://youtu.be/nEVqE09aRvA 👆 It's just simple to do just like  Look video here 👇 https://youtu.be/nEVqE09aRvA To have fire  Needle