Skip to main content

TOLLENSE UWANJA WA KIVITA ULIOBAKIZA MASALIA YA MIFUPA

 Bonde la Tollense uwanja wa mapambano ujeruman kusini linajumuishwa kama eneo la mapambani takribani miaka 3300 iliyopita zaidi ya wanajeshi 4000 katikati ya Ulaya walipigana na kuuwawa. kulikuwa na maelfu ya masalia ya mifupa ya wanajeshi waliouwawa ronze\shaba mbao ambazo zilikuwa miongoni mwa silaha zao


Michael Daniel


Tollense valley battlefield in northern Germany is considered Europe’s oldest battlefield site. 3300 years ago, some 4000 warriors from Central Europe fought in a battle on the site leaving behind thousands of bone fragments, bronze, wooden and flint weapons, and gold and bronze objects.


Support us share




Comments

Popular posts from this blog

Aua kisa cheo

MWALIMU ADAIWA KUUA MWALIMU MWENZAKE KISA CHEO... Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha (pichani) kwa kumchoma na kisu akiwa darasani. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea Machi 15 saa 3:45 asubuhi wakati walimu hao wakiandaa mtihani kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la kwanza. "Kata ya Isulwabutundwe mwanaume wa miaka 35 katika Shule ya Msingi Igaka aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye chembe ya moyo na mwanaume mwingine mwenye miaka 35 ambae ni mwalimu mwenzake. Walimu wote wawili walikuwa darasani wakiandaa mtihani ndipo mtuhumiwa alitoa kisu na kumchoma mwenzake kwenye chembe cha moyo," amesema Kamanda Jongo. Kamanda alisema chanzo cha tukio hilo inadaiwa kuwa ni ugomvi baina ya walimu hao ambao walikuwa wanagombea uongozi kwenye kitengo cha elimu ya kujitegemea. "Uchunguzi wa tukio hilo...

HISTORIA ZILIZOVUNJA REKODI\ THE STORY MAKE HEADLINES

Source Google Pic edition Wedish warship Vasa. It sank in 1628 less than a mile into its maiden voyage and was recovered from the sea floor after 333 years almost completely intact. Now housed at the Vasa Museum in Stockholm, is the world's best preserved 17th century ship            Swahili Meli ya KIVITA ya kiswiden\ swidish. Kwa jina. Vasa iliyozama takribani 1628 zaidi ya maili chini ya bahari katika eneo la matengenezo na ilidumu ndani ya bahari takribani miaka 333         Kwa Sasa imejengewa eneo kama makumbusho huko Stockholm.  Ni Moja kati ya rekodi za Dunia tangia Karne ya 17 katika meli za nchi hiyo ya sweden     

Watering simply

 Project of watering system at your home do it's try it it save water                  https://youtu.be/nEVqE09aRvA 👆 It's just simple to do just like  Look video here 👇 https://youtu.be/nEVqE09aRvA To have fire  Needle