Source
Pic edition
Wedish warship Vasa. It sank in 1628 less than a mile into its maiden voyage and was recovered from the sea floor after 333 years almost completely intact. Now housed at the Vasa Museum in Stockholm, is the world's best preserved 17th century ship
Swahili
Meli ya KIVITA ya kiswiden\ swidish. Kwa jina. Vasa iliyozama takribani 1628 zaidi ya maili chini ya bahari katika eneo la matengenezo na ilidumu ndani ya bahari takribani miaka 333
Kwa Sasa imejengewa eneo kama makumbusho huko Stockholm. Ni Moja kati ya rekodi za Dunia tangia Karne ya 17 katika meli za nchi hiyo ya sweden

Comments
Post a Comment