Pichani ni Methew Hogg Raia wa Uingereza ambaye ana ugonjwa unaoitwa auto-Brewery Syndrome.
Ugonjwa huu ni kwamba Mwili wake una uwezo wa kutengeneza Pombe wenyewe endapo tu atakula chakula chenye Sukari au Wanga.
Hogg anasema endapo atakula Sahani Moja tu ya wali Mwili wake hutengeneza pombe yenye kiwango cha Chupa tatu za Wine kali kabisa. Jamaa kila siku huamka na hungover ya kufa mtu.
Akiwa mdogo alikuwa hajaelewa kuhusu ugonjwa huu hivyo akiwa shuleni alikuwa akilewa hovyo hovyo pindi anapokula chakula chenye wanga, sukari au Amira.
Fuata link hii kumsoma zaidi.
Pombe inayotengenezwa tumboni kwa jamaa wanasema ni kali sana. Picha ya pili hapo ni kwamba jamaa anataka kulewa akila huo mkate


Comments
Post a Comment