Skip to main content

Ndege ya vita concord 1920

Katika HISTORIA ya Anya hii hayo ni miongoni mwa story ambazo ukizitananisha na tmaendeleo ya SAYANSO na teknolojia ya Sasa lazima ikuache mdomo wazi hii ni ndege ya KIVITA mnamo 1920

Ndege hii iliundwa Kwa kuitumia china lakini misthilinya batinndage hiyo pia ilikuwa kama manga makazinkwa wanajeshi



Imenukuliwa 

Kuhaririwa na kutafsiriwa

Na 

Michael Daniel

English

CONCORD: Designed in the 1920s that was still carrying freight and passengers when Concorde took to the air, that is just incredible. Junkers became the pioneer of an entirely new approach to aircraft construction. A cantilever monoplane with a thick wing constructed using a metal structure covered in thin sheets of steel. 
https://planehistoria.com





Usiache kushea ukurasa huh ili kuonyesha 

Upendo na Kwa wengine. Wapate kufahamu

Comments

Popular posts from this blog

Aua kisa cheo

MWALIMU ADAIWA KUUA MWALIMU MWENZAKE KISA CHEO... Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha (pichani) kwa kumchoma na kisu akiwa darasani. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea Machi 15 saa 3:45 asubuhi wakati walimu hao wakiandaa mtihani kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la kwanza. "Kata ya Isulwabutundwe mwanaume wa miaka 35 katika Shule ya Msingi Igaka aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye chembe ya moyo na mwanaume mwingine mwenye miaka 35 ambae ni mwalimu mwenzake. Walimu wote wawili walikuwa darasani wakiandaa mtihani ndipo mtuhumiwa alitoa kisu na kumchoma mwenzake kwenye chembe cha moyo," amesema Kamanda Jongo. Kamanda alisema chanzo cha tukio hilo inadaiwa kuwa ni ugomvi baina ya walimu hao ambao walikuwa wanagombea uongozi kwenye kitengo cha elimu ya kujitegemea. "Uchunguzi wa tukio hilo...

JE NI UGONJWA AU ULEVI?

Pichani ni Methew Hogg Raia wa Uingereza ambaye ana ugonjwa unaoitwa auto-Brewery Syndrome.  Ugonjwa huu ni kwamba Mwili wake una uwezo wa kutengeneza Pombe wenyewe endapo tu atakula chakula chenye Sukari au Wanga.  Hogg anasema endapo atakula Sahani Moja tu ya wali Mwili wake hutengeneza pombe yenye kiwango cha Chupa tatu za Wine kali kabisa. Jamaa kila siku huamka na hungover ya kufa mtu.  Akiwa mdogo alikuwa hajaelewa kuhusu ugonjwa huu hivyo akiwa shuleni alikuwa akilewa hovyo hovyo pindi anapokula chakula chenye wanga, sukari au Amira.  Fuata link hii kumsoma zaidi. Pombe inayotengenezwa tumboni kwa jamaa wanasema ni kali sana. Picha ya pili hapo ni kwamba jamaa anataka kulewa akila huo mkate

Watering simply

 Project of watering system at your home do it's try it it save water                  https://youtu.be/nEVqE09aRvA 👆 It's just simple to do just like  Look video here 👇 https://youtu.be/nEVqE09aRvA To have fire  Needle