Skip to main content


Hii ikushangaze kidogo mgunduzi wa ngombe wa shaba aliye mtengeneza Maalum katika ugunduzi mbalimbali huko ubelgiji 

Unaambiwa kuwa ng'ombe Huyo alikuwa Maalum ili kuwakaanga watu wakiwa ndani yake akiwa amewekewa tarumbeta maatumu lililotoa sauti Maalum kama dume la ng'ombe
  Kilichotokea nikiwa wakati wa kuwasilisha ugunduzi huo mgunduzi aliyejulikana Kwa Jina Perilaus aliamriwa ndiye awe wakwanza kukaribia humo
     


Bull of Falaris" The Dangerous invention of the ancient invetor

Thanks to Lucian, the 2nd century AD satirist, we know quite a bit about the torture machine known as "the brass bull of Perilaus" or "the bull of Phalaris".
The sculptor Perilaos between 570-560 BC.
he made to the order of the tyrant Phalaris, a brass bull that could fit an entire man inside. When they lit a fire under the bull, the one inside was roasted alive and his voices were heard, through a special mechanism, like the bellowing of the bull.
When he first presented his invention to the tyrant of Acragantas of Sicily, he ordered Perilaus to be put inside the bull and made his first victim.
It was a fitting end for the inventor of such a diabolical machine.
Illustration and drawing from the Museum of Torture in Bruges, Belgium.

Comments

Popular posts from this blog

Aua kisa cheo

MWALIMU ADAIWA KUUA MWALIMU MWENZAKE KISA CHEO... Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha (pichani) kwa kumchoma na kisu akiwa darasani. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea Machi 15 saa 3:45 asubuhi wakati walimu hao wakiandaa mtihani kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la kwanza. "Kata ya Isulwabutundwe mwanaume wa miaka 35 katika Shule ya Msingi Igaka aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye chembe ya moyo na mwanaume mwingine mwenye miaka 35 ambae ni mwalimu mwenzake. Walimu wote wawili walikuwa darasani wakiandaa mtihani ndipo mtuhumiwa alitoa kisu na kumchoma mwenzake kwenye chembe cha moyo," amesema Kamanda Jongo. Kamanda alisema chanzo cha tukio hilo inadaiwa kuwa ni ugomvi baina ya walimu hao ambao walikuwa wanagombea uongozi kwenye kitengo cha elimu ya kujitegemea. "Uchunguzi wa tukio hilo...

HISTORIA ZILIZOVUNJA REKODI\ THE STORY MAKE HEADLINES

Source Google Pic edition Wedish warship Vasa. It sank in 1628 less than a mile into its maiden voyage and was recovered from the sea floor after 333 years almost completely intact. Now housed at the Vasa Museum in Stockholm, is the world's best preserved 17th century ship            Swahili Meli ya KIVITA ya kiswiden\ swidish. Kwa jina. Vasa iliyozama takribani 1628 zaidi ya maili chini ya bahari katika eneo la matengenezo na ilidumu ndani ya bahari takribani miaka 333         Kwa Sasa imejengewa eneo kama makumbusho huko Stockholm.  Ni Moja kati ya rekodi za Dunia tangia Karne ya 17 katika meli za nchi hiyo ya sweden     

Watering simply

 Project of watering system at your home do it's try it it save water                  https://youtu.be/nEVqE09aRvA 👆 It's just simple to do just like  Look video here 👇 https://youtu.be/nEVqE09aRvA To have fire  Needle