Skip to main content

Kuzaliwa kwake Yesu mkozi wetu

​Mathayo 1

18 Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.


19 Naye Yusufu, mumewe, kwa vile alivyokuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.


20 Basi alipokuwa akifikiri hayo, tazama, malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema, Yusufu, mwana wa Daudi, usihofu kumchukua Mariamu mkeo, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.


21 Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.


22 Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii akisema,


23 Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.


24 Naye Yusufu alipoamka katika usingizi, alifanya kama malaika wa Bwana alivyomwagiza; akamchukua mkewe;


25 asimjue kamwe hata alipomzaa mwanawe; akamwita jina lake YESU.

Comments

Popular posts from this blog

Aua kisa cheo

MWALIMU ADAIWA KUUA MWALIMU MWENZAKE KISA CHEO... Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha (pichani) kwa kumchoma na kisu akiwa darasani. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea Machi 15 saa 3:45 asubuhi wakati walimu hao wakiandaa mtihani kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la kwanza. "Kata ya Isulwabutundwe mwanaume wa miaka 35 katika Shule ya Msingi Igaka aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye chembe ya moyo na mwanaume mwingine mwenye miaka 35 ambae ni mwalimu mwenzake. Walimu wote wawili walikuwa darasani wakiandaa mtihani ndipo mtuhumiwa alitoa kisu na kumchoma mwenzake kwenye chembe cha moyo," amesema Kamanda Jongo. Kamanda alisema chanzo cha tukio hilo inadaiwa kuwa ni ugomvi baina ya walimu hao ambao walikuwa wanagombea uongozi kwenye kitengo cha elimu ya kujitegemea. "Uchunguzi wa tukio hilo...

HISTORIA ZILIZOVUNJA REKODI\ THE STORY MAKE HEADLINES

Source Google Pic edition Wedish warship Vasa. It sank in 1628 less than a mile into its maiden voyage and was recovered from the sea floor after 333 years almost completely intact. Now housed at the Vasa Museum in Stockholm, is the world's best preserved 17th century ship            Swahili Meli ya KIVITA ya kiswiden\ swidish. Kwa jina. Vasa iliyozama takribani 1628 zaidi ya maili chini ya bahari katika eneo la matengenezo na ilidumu ndani ya bahari takribani miaka 333         Kwa Sasa imejengewa eneo kama makumbusho huko Stockholm.  Ni Moja kati ya rekodi za Dunia tangia Karne ya 17 katika meli za nchi hiyo ya sweden     

Watering simply

 Project of watering system at your home do it's try it it save water                  https://youtu.be/nEVqE09aRvA 👆 It's just simple to do just like  Look video here 👇 https://youtu.be/nEVqE09aRvA To have fire  Needle