Skip to main content

HATARI YA DUNIA




Kwa muonekano hali ya sasa ya dunia imekuwa tete kulingana na mabadiliko ya hali ya hewa ongezeko la watu.pamoja na shughuli za kiuchumi zinazofanyika na binadamu 


 
  Miongoni mwa shughuli za kibinadamu zinazochangia uharibifu wa mazingira tumejumuisha baadhi ya shughuli hizo ni
     Kilimo; ni shughuli ya uzalishaji mali ambapo ardhi hutumika kama msingi mkuu wa uzalishaji katika kilimo uharibifu wa mazingira hutokea kwakuwa ardhi huitajika kwaajili ya shughuli hiyo..hivyo basi wanadamu hufyeka misitu ili kupata maeneo ya kulimia na mwisho wa yote ardhi hubaki kame na kusababisha uharibifu wa mazingira
     Ufugaji;Hii ni shughuli ya kiuchumi inayofanyika kwa kufuga mifugo ili kujiongezea kipato.shughuli ya kilimo pia huweza kuchangia uharibifu wa mazingira kwa baadhi ya wafugaji kufuga mifugo mingi katika eneo dogo  kuthibiti hili
 Tunashauriwa kufuga mifugo michache katika eneo husika ,kufuata njia za kisasa za ufugaji ambao pia ufugaji wa kisasa unatija kwa mfugaji
    Ongezeko la watu;Ongezeko la watu pia huchochea uharibifu wa mazingira kutokana na watu kuhitaji maeneo kwajili ya kujenga,kuzalisha mali na mambo mengine mengi.ongezeko la watu kwa sasa linachochewa na kutokuwa na njia thabiti ya kithibiti uzalianaji holela bila kufuata mpango wa uzazi.
  Uthibiti  hili kulithibiti watu wanapaswa kufuata njia za kisasa za uzazi wa mpango kizui uzalianaji holela...


     Hizo ni baadhi ya sababu zinazochochea uharibifu wa mazingira
 Tunaipenda dunia kuitunza 
  Katika maandiko Mungu anatuambia nimewapa mamlaka mkatawale na kumiliki.vyote tulivyopewa tumepewa tuvitunze na siyo kuharibi  
   Sawa tufanyaje kuthibiti hili
1>tusikate miti hovyo ,
2>Tuoteshe miti kiweka hali ya ukijani kila wakati
3>Tusambaze elimu juu ya utiunzaji wa mazingira
4>Tupunguze matumizi ya nishati inayochochea uharibifu wa mazingira kama mkaa, na kuni badalayake tutumie nishati jadidifu na rafiki kwa mazingira kama gesi na umeme
5>tutizame kesho yetu na kizazi chetu cha baadae kwa lengo la kukiwekea mazingira bora yatakayowafanya waishi bila changamoto

  Ahsante kubwa
 Mick Daniel/Abdallah A Shaban

Comments

Popular posts from this blog

Aua kisa cheo

MWALIMU ADAIWA KUUA MWALIMU MWENZAKE KISA CHEO... Mwalimu wa Shule ya Msingi Igaka, Samwel Subi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kumuua mwalimu mwezake Emanuel Chacha (pichani) kwa kumchoma na kisu akiwa darasani. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea Machi 15 saa 3:45 asubuhi wakati walimu hao wakiandaa mtihani kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la kwanza. "Kata ya Isulwabutundwe mwanaume wa miaka 35 katika Shule ya Msingi Igaka aliuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali kwenye chembe ya moyo na mwanaume mwingine mwenye miaka 35 ambae ni mwalimu mwenzake. Walimu wote wawili walikuwa darasani wakiandaa mtihani ndipo mtuhumiwa alitoa kisu na kumchoma mwenzake kwenye chembe cha moyo," amesema Kamanda Jongo. Kamanda alisema chanzo cha tukio hilo inadaiwa kuwa ni ugomvi baina ya walimu hao ambao walikuwa wanagombea uongozi kwenye kitengo cha elimu ya kujitegemea. "Uchunguzi wa tukio hilo...

HISTORIA ZILIZOVUNJA REKODI\ THE STORY MAKE HEADLINES

Source Google Pic edition Wedish warship Vasa. It sank in 1628 less than a mile into its maiden voyage and was recovered from the sea floor after 333 years almost completely intact. Now housed at the Vasa Museum in Stockholm, is the world's best preserved 17th century ship            Swahili Meli ya KIVITA ya kiswiden\ swidish. Kwa jina. Vasa iliyozama takribani 1628 zaidi ya maili chini ya bahari katika eneo la matengenezo na ilidumu ndani ya bahari takribani miaka 333         Kwa Sasa imejengewa eneo kama makumbusho huko Stockholm.  Ni Moja kati ya rekodi za Dunia tangia Karne ya 17 katika meli za nchi hiyo ya sweden     

Watering simply

 Project of watering system at your home do it's try it it save water                  https://youtu.be/nEVqE09aRvA 👆 It's just simple to do just like  Look video here 👇 https://youtu.be/nEVqE09aRvA To have fire  Needle